FANYA KAZI NAMI

Karibu tukuhudumie. Safari ya mabadiliko inaanzia pale ulipo kuanza kuboresha maisha yako. Ipo nafasi ya kufanya kazi nami au mmoja wa wasaidizi wangu,kupitia programu yetu ya “1x1 mentorship”

inaweza kuwa siku au mwezi mzima wa kukufanyia MENTORSHIP

  • USHAURI BINAFSI WA ANA KWA ANA.

    NATOA SAA 1 YA USHAURI KWA NJIA YA MTANDAO AU KWA SIMU.

  • MENTORSHIP

    Programu ya mentorship ya mwezi itakusaidia kubaki kwenye njia sahihi.

kss

TUNAFANYAJE?

Je! hujakutana na hitaji lako? Tunaweza kukusikiliza na kuandaa programu maalum itakayokidhi hitaji lako na mfumo wako wa kujifunza.

JE UNA SWALI? FANYA BOOKING KUPATA USHAURI WA BURE KWA NJIA YA SIMU.